Paul Kimiti Unsung Hero

Paul Kimiti Unsung Hero

Mgosi wa Sui

Member
Joined
Aug 22, 2009
Posts
26
Reaction score
1
Huyu jamaa ni miongoni mwa wachache walitahidi katika suala zima la uongozi na uadilifu
 
Hakuna kitu hapo ndugu,anapigana vijembe tu na Mzindakaya na kudumaza maendeleo ya mkoa wa Rukwa. Hata hivyo wana Rukwa wamefurahia kauli zao za kutogombea uchaguzi ujao,nadhani sasa milango ya maendeleo itafunguka kwa wabunge watakaoshika nafasi zao kuchangamkia fursa zilizopo kupeleka maendeleo mkoani humo.
 
Lakini kimiti hakujilimbikizia mali, na aliongoza mkoa wa mbeya vizuri.
Hata alipokuwa waziri amefanya kazi kwa uadilifu wa hali ya juu.
 
hii kasumba mbaya .
Kufanya au kutekeleza kile unachotakiwa kufanya ni WAJIBU.kwa viongozi/watawala wengi kutokotekeleza wajibu wao kusifanye anayetekeleza wajibu wake aonekane ni hero.

Mifano mingine- Mbunge kawezesha mradi fulani jimboni( umeme, maji, nk)

Lakini kimiti hakujilimbikizia mali, na aliongoza mkoa wa mbeya vizuri.
Hata alipokuwa waziri amefanya kazi kwa uadilifu wa hali ya juu.
Acha uongo wewe, humfahamu huyu mzee, mbona ubunge umemshinda! By the way tunafurahi kwa sababu katangaza kung'atuka.
 
Acha uongo wewe, humfahamu huyu mzee, mbona ubunge umemshinda! By the way tunafurahi kwa sababu katangaza kung'atuka.

In my opinion he is a hero. And we should sing them while they are alive instead of being hypocritical and start to praise them when they are dead. If you go to Rukwa and Mbeya they will tell you who this mas is.
 
Lakini kimiti hakujilimbikizia mali, na aliongoza mkoa wa mbeya vizuri.
Hata alipokuwa waziri amefanya kazi kwa uadilifu wa hali ya juu.
lakini aliwahi kupishana na Mzee Mwamfupe aliyekuwa Mbunge wa mbeya mjini kwa matumizi mabaya ya fedha, akiwa mkuu wa mkoa wa Mbeya
 
Back
Top Bottom