Mgosi wa Sui
Member
- Aug 22, 2009
- 26
- 1
Sui: Huyu Paul Kimiti ni wa chama gani?
CCMmmm
Acha uongo wewe, humfahamu huyu mzee, mbona ubunge umemshinda! By the way tunafurahi kwa sababu katangaza kung'atuka.Lakini kimiti hakujilimbikizia mali, na aliongoza mkoa wa mbeya vizuri.
Hata alipokuwa waziri amefanya kazi kwa uadilifu wa hali ya juu.
Acha uongo wewe, humfahamu huyu mzee, mbona ubunge umemshinda! By the way tunafurahi kwa sababu katangaza kung'atuka.
lakini aliwahi kupishana na Mzee Mwamfupe aliyekuwa Mbunge wa mbeya mjini kwa matumizi mabaya ya fedha, akiwa mkuu wa mkoa wa MbeyaLakini kimiti hakujilimbikizia mali, na aliongoza mkoa wa mbeya vizuri.
Hata alipokuwa waziri amefanya kazi kwa uadilifu wa hali ya juu.