Mbona mnaweweseka sana Jamani kwani Makonda anachofanya si ndio kazi zenyewe za chama cha siasa? Mlitaka akae tuu ndani kule lumumba? Wacha atembee asaidie kuonesha shida zilizopo!
Shida wengi mnaona kama Makonda anachukua point kwa wananchi ndio maana mnajikuta mna mjadili yeye tuu na CCM yake na ndilo walilotaka….
maoni na mtazamo wake wa kushindwa ni mzuri sana, na amejieleza vizur sana kwakweli kwa walioshindwa 🐒Kumbe Paul Kimiti bado yupo?! Nimemsikia akizumzungumzia Lowassa kwa undani na amezungumzia mengi kuhusu uongozi wa nchi na wanasiasa. Mheshimiwa Kimiti anasema viongozi wengi hawana misingi ya uongozi na hawana maarifa. Bila kumtaja mtu, Kimiti amesema utaratibu wa kumtuma mtu mmoja kuzunguka nchi nzima kutatua matatizo ya watanzania hauwezi kufanikiwa!
Huu ni usanii wa majukwaani tu kama mazingaombweKumbe Paul Kimiti bado yupo?! Nimemsikia akizumzungumzia Lowassa kwa undani na amezungumzia mengi kuhusu uongozi wa nchi na wanasiasa. Mheshimiwa Kimiti anasema viongozi wengi hawana misingi ya uongozi na hawana maarifa. Bila kumtaja mtu, Kimiti amesema utaratibu wa kumtuma mtu mmoja kuzunguka nchi nzima kutatua matatizo ya watanzania hauwezi kufanikiwa!
NI UPIGAJI TU BASHITE KAKAA BENCHI MUDA MREFU KAAMBIWA AKATAFUTE PER DIEMKumbe Paul Kimiti bado yupo?! Nimemsikia akizumzungumzia Lowassa kwa undani na amezungumzia mengi kuhusu uongozi wa nchi na wanasiasa.
Mheshimiwa Kimiti anasema viongozi wengi hawana misingi ya uongozi na hawana maarifa.
Bila kumtaja mtu, Kimiti amesema utaratibu wa kumtuma mtu mmoja kuzunguka nchi nzima kutatua matatizo ya watanzania hauwezi kufanikiwa!
Yeye alifanya nini cha maana kwenye uongozi wake kule Sumbawanga? akae kwa kutulia amuache mwenezi aendelee kupiga spana.Kumbe Paul Kimiti bado yupo?! Nimemsikia akizumzungumzia Lowassa kwa undani na amezungumzia mengi kuhusu uongozi wa nchi na wanasiasa.
Mheshimiwa Kimiti anasema viongozi wengi hawana misingi ya uongozi na hawana maarifa.
Bila kumtaja mtu, Kimiti amesema utaratibu wa kumtuma mtu mmoja kuzunguka nchi nzima kutatua matatizo ya watanzania hauwezi kufanikiwa!
Yeye alifanya kitu gani kimitiKumbe Paul Kimiti bado yupo?! Nimemsikia akizumzungumzia Lowassa kwa undani na amezungumzia mengi kuhusu uongozi wa nchi na wanasiasa.
Mheshimiwa Kimiti anasema viongozi wengi hawana misingi ya uongozi na hawana maarifa.
Bila kumtaja mtu, Kimiti amesema utaratibu wa kumtuma mtu mmoja kuzunguka nchi nzima kutatua matatizo ya watanzania hauwezi kufanikiwa!
Matatizo wamesababisha Ccm nchi nzima........wametafuta mtu aliyekuwa hana sifa kijamii eti ndie anasikiliza kero.Kumbe Paul Kimiti bado yupo?! Nimemsikia akizumzungumzia Lowassa kwa undani na amezungumzia mengi kuhusu uongozi wa nchi na wanasiasa.
Mheshimiwa Kimiti anasema viongozi wengi hawana misingi ya uongozi na hawana maarifa.
Bila kumtaja mtu, Kimiti amesema utaratibu wa kumtuma mtu mmoja kuzunguka nchi nzima kutatua matatizo ya watanzania hauwezi kufanikiwa!
Kule chamani kuna afadhari huyu kidogo na hamna msafi kama karatasi,hata huyu Mzee ana makando kando..Matatizo wamesababisha Ccm nchi nzima........wametafuta mtu aliyekuwa hana sifa kijamii eti ndie anasikiliza kero.
Anaacha wanaosababisha Shida kwa wananchi Ofisini kwake anaenda kula Bata mikoani eti anasikiliza kero.
Sasa kama huyo katibu wa itikadi anavutia kumtatua na ni mzoefu wa matatuzi, kuna shida akitatuliwa!!??badala ya kutatua matatizo wao wanataka kumtatua Katibu wa Itikadi
Yeye alifanya nini cha maana kwenye uongozi wake kule Sumbawanga? akae kwa kutulia amuache mwenezi aendelee kupiga spana.
Mzee Kimiti was failed leader hakuna cha maana chochote alichofanya.