Ombenikhalungu
Member
- Nov 19, 2013
- 96
- 47
Paul Labile Pogba ana miaka 23 tu na bei yake inaweza kununua Ferrari 450, Porsche 1213, Ndege 3 za Airbus, Bugatti 60. Bado unataka nimpeleke mwanangu shule na baadae aishie kwenye maandamano na migomo?! Nitakuwa mwehu! M na mke wangu tunaelekea kununua jersey, viatu, socks, pensi, na mipira. Atacheza mpira hata kma hajui