Ombenikhalungu
Member
- Nov 19, 2013
- 96
- 47
Mkuu Ahsante. Namuongezea mf, mwambie aje hapa Manzese darajani kuna Mchezaji wa zamani wa timu 1 ya Kariakoo na Taifa Stars, anafanya ya aibu ukifananisha na jina lake!Haya ,ila omba sana unafikiria Nyoso anapenda kufanya anayoyafanya ??
Kwanza kuhamishie nchi yenye kufata mpira sio haya majungu ya bongoPaul Labile Pogba ana miaka 23 tu na bei yake inaweza kununua Ferrari 450, Porsche 1213, Ndege 3 za Airbus, Bugatti 60. Bado unataka nimpeleke mwanangu shule na baadae aishie kwenye maandamano na migomo?! Nitakuwa mwehu! M na mke wangu tunaelekea kununua jersey, viatu, socks, pensi, na mipira. Atacheza mpira hata kma hajui