Jana mtu mmoja kapigwa jela maisha kwa kosa la kukutwa na mirungi kilo 24, wakati Zungu pale kino anajulikana kabisa kuwa ni Zungu la unga lakini kama hawamuoni vile.tatizo kuna unafiki mkubwa sana kwenye hizi issue za 'unga'
Kha....jmn mirungi tyu ndo wamfunge maisha....hpo kwa kwel wamemwonea bora ht wangemfunga 5yrzJana mtu mmoja kapigwa jela maisha kwa kosa la kukutwa na mirungi kilo 24, wakati Zungu pale kino anajulikana kabisa kuwa ni Zungu la unga lakini kama hawamuoni vile.