Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah amekurupukaHivi ni sawa alichokifanya MH MAKONDA LEO!!
Kuhusu NGONI NA YONDANI!!
Hiyo bw minister hawezi sema chochote. Amini hivyo muzee.Who is he in National Team?
He may have mandate on KMC but not on Taifa Stars...
Mwakyembe should have to shout out and stop this nonsense from this bush gay...
Soka linahitaji utimamu wa mwili na aikili mchezaji anapohisi mwili wke haupo sawa kwenye mapambano yenye high tensions ndio maana anaamua kutundika daruga.
Sio kama any other white color job ambazo mpaka ufikie umri wa kustaafu kwa hiyari kisheria ambo ni above 55yrs.
Walipofanya kwa taifa panatosha waache nafasi kwa ajili ya new generation kuja kutupeleka mbele zaidi.
Kwa upande wangu this guy ni mjinga sana na anataka siasa ya CCM iwe kila sehemu ya nchi hii bila kujali kuwa hii ni nchi ya vyama vingi.