Paul Makonda awalazimisha Erasto Nyoni na Kevin Yondani kutotundika daluga

ngwere96

Member
Joined
May 16, 2019
Posts
44
Reaction score
16
Hivi ni sawa alichokifanya MH MAKONDA LEO!!
Kuhusu NYONI NA YONDANI!!
Nyoni na mwenzake Yondani walitangaza kustafu soko lakini mh kawalazimisha wasistafu hili nisawa kimchezo??
 
Tulia, fikiria kwa kina, anza kutype, rudia kukisoma ulichokiandika kisha ukiona kitaeleweka kwa asilimia kubwa ya wasomaji sasa ni ruksa ku post.
Wengine hatujui nini amefanya leo, wengine hatumjui huyo NGONI lakini huyo Yondani anafahamika. Weka minofu kwanza kwenye habari yako mkuu.
 
Soka sasa imekuwa kama jeshi. Wachezaji Yondani na Nyoni wameambiwa ole wao wakiitwa kambi ya Taifa stars halafu wasiende! Kweli this is a police state! Wametaka kujiuzulu kuchezea Taifa stars halafu wanaambiwa na mwanasiasa ole wenu mkatakae kuja kambini! Pathetic
 
Akacheze kwa niaba yao. Haijawahi kutokea kuamriwa mchezaji aendelee wakati moyo wake haupo huko.
Halafu wala so Waziri wa Michezo.
 
Who is he in National Team?

He may have mandate on KMC but not on Taifa Stars...
Mwakyembe should have to shout out and stop this nonsense from this bush gay...
Soka linahitaji utimamu wa mwili na aikili mchezaji anapohisi mwili wke haupo sawa kwenye mapambano yenye high tensions ndio maana anaamua kutundika daruga.

Sio kama any other white color job ambazo mpaka ufikie umri wa kustaafu kwa hiyari kisheria ambo ni above 55yrs.
Walipofanya kwa taifa panatosha waache nafasi kwa ajili ya new generation kuja kutupeleka mbele zaidi.

Kwa upande wangu this guy ni mjinga sana na anataka siasa ya CCM iwe kila sehemu ya nchi hii bila kujali kuwa hii ni nchi ya vyama vingi.
 
Mimi nakumbuka hata Messi wa Argentina alisema hatocheza tena team ya taifa ila akaombwa aendelee na akakubali,Asamoah Gyan wa Ghana pia alistaafu national team ila akaombwa kurudi na akakubali,mifano ni mingi sana,mchezaji kuombwa kurudi kuichezea national team baada ya kustaafu ni jambo ambalo limetokea mara nyingi tu na kwa wachezaji wengi tu,hilo la Kulazimishwa labda nisubiri maoni ya wadau wengine ili nijifunze jambo.
 
Hiyo bw minister hawezi sema chochote. Amini hivyo muzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…