Paul Makonda: Nawaonya wafanyabiashara wa Arusha msipandishe bei za bidhaa kwa kigezo cha mwezi wa Ramadhan

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Drama za mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda zinaendelea.

Hivi karibuni amesema kuwa kwa Arusha ni marufuku kwa wafanyabiashara kupandisha bei za bidhaa mkoani Arusha

"Katika mkoa huu ni marufuku Wafanyabishara kupandisha bei ya bidhaa kwa mwezi huu wa ramadhani"

Kauli za kisiasa
 
Nadhan neno kuonya limetumika vibaya..

Ujumbe wake ni kuwasihi wasipandishe bei...sio amri, maana ametumia maneno kama dhambi na laana....

Its okay.
 
Wakuu,

Drama za mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda zinaendelea.

Hivi karibuni amesema kuwa kwa Arusha ni marufuku kwa wafanyabiashara kupandisha bei za bidhaa mkoani Arusha

"Katika mkoa huu ni marufuku Wafanyabishara kupandisha bei ya bidhaa kwa mwezi huu wa ramadhani"

Makonda yupo sahihi sana
 
Yani maharage yangu unipangie bei?! Bashite acha wehu njoo hapa mbauda unikamate
 
hicho ndio kilochopo dar. magimb kafungu sh 3000 hujui atakula nan aache nan.
 
Yani maharage yangu unipangie bei?
Mkuu wa Mkoa alipaswa KUSHAURI na sio kuwaonya. (Dhamira yake ni nzuri labda uwasilishaji)

Kila biashara ina msimu(high/Low) wake, Msimu huu wa ramadhani ndio season ya wakulima wa mihogo huko Kisarawe kurejesha gharama zao na kujipatia FAIDA.

Ni sawa na msimu wa christmas mwanasiasa awaonye wauza nguo washushe bei.

Bei huwa inakuwa determined na Demand/Supply na sio MAONYO ya viongozi wa kisiasa.
 
Back
Top Bottom