Kauli za kisiasaWakuu,
Drama za mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda zinaendelea.
Hivi karibuni amesema kuwa kwa Arusha ni marufuku kwa wafanyabiashara kupandisha bei za bidhaa mkoani Arusha
"Katika mkoa huu ni marufuku Wafanyabishara kupandisha bei ya bidhaa kwa mwezi huu wa ramadhani"
Makonda yupo sahihi sanaWakuu,
Drama za mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda zinaendelea.
Hivi karibuni amesema kuwa kwa Arusha ni marufuku kwa wafanyabiashara kupandisha bei za bidhaa mkoani Arusha
"Katika mkoa huu ni marufuku Wafanyabishara kupandisha bei ya bidhaa kwa mwezi huu wa ramadhani"
Kauze kenya kama hujui maana ya serikali kaa pembeniYani maharage yangu unipangie bei?! Bashite acha wehu njoo hapa mbauda unikamate
Kauza hapahapaKauze kenya kama hujui maana ya serikali kaa pembeni
Alafu Mwisho Wa Siku Anaenda Kuomba Ufadhili Kwa Wafanyabiashara Wamdhamini Ajenda Zake Ndani Ya Eneo HusikaMwanasiasa anamuonya mfanyabiashara πππππππππ
Mkuu wa Mkoa alipaswa KUSHAURI na sio kuwaonya. (Dhamira yake ni nzuri labda uwasilishaji)Yani maharage yangu unipangie bei?
Alafu Mwisho Wa Siku Anaenda Kuomba Ufadhili Kwa Wafanyabiashara Wamdhamini Ajenda Zake Ndani Ya Eneo Husika And Vice Versa.