Jana akiwa kanisani mkuu wa wilaya ya Kinondoni kwa kujiamini sana kupita kiasi alitoa kauli ya vitisho kwa wananchi kuwa hataruhusu wananchi kwenye wilaya yake ya Kinondoni kubaki vituoni baada ya kupiga kura hata kama ni mita mia mbili kutoka kwenye kituo cha kupigia kura.
Suala hili lipo mahakamani na bado halijatolewa ufafanuzi wa mahakama kuu. Sasa wakati tunasubiri maamuzi ya mahakama kuu inashangaza sana kuona mkuu wa wilaya anatoa kauli ya vitisho kama hiyo, hivi kwa mfano mahakama kuu ikiamua kuwa wananchi wana haki ya kusubiria matokeo atarudi tena makanisani kuwatangazia wananchi kuwa wana haki ya kubaki vituoni?, na jumapili iliyobaki ndiyo hiyo ya uchaguzi.
Wee mtoa hoja,
Topic ya habari yako "Paulo Makonda anapata wap......" uliianza vizuri, ila umekuja kuharibu kwenye maelezo, uliposema
Mkuu wa wilaya!! huyu ni mkuu wa wilaya hipi? wakuu wa wilaya wana hekima sana siyo kama huyu dogo. huyu ni
chizi fresh tu!!! anavaa suti lakini mentary ni CHIZI. Wewe makonda, kama kweli wewe ni kiongozi mzima, unayejua sheria, utaingiliaje suala ambalo liko mahakamani?
Ka-degree kamoja unakohowa kama msomi!! ungekuwa Dr? Ulivyo mpiga walioba ukaachwa, safari hii jidanganye kuuwa watu, uone na wewe kama utaishi!!! Makonda tumia hekima kama wakuu wa wilaya wengine siyo unakuwa mlopokaji. Ulimbukeni wa Madaraka!!! nilikuona Juzi "unatangaza kwamba kwenye wilaya yangu.......... nitawashughurikia" wewe unawilaya wewe?
ungekuwa critical thinker bora ungesema kwenye wilaya zetu zote dar, ili tukaona ni mahamuzi ya kikao cha wakuu wa wilaya!! sasa wewe unasema wilaya yako hili kikwete akuone wewe ni mchapa kazi hili upandishwe cheo? Uliza waliokutangulia wakufundishe uache uchizi fresh
Kiwango cha kutambua usomi wa mtu, siyo kuangalia GPA, bali ni uwezo wa kuchambua mambo na kutoa mahamuzi!!
Kwakuwa mtoa mada amesema kuwa ulikuwa kanisani, hivyo ngoja nikupe andiko likusaidie
Mithali 13:3 "Yeye alindaye kinywa chake, huilinda nafsi yake. Bali afunuaye midomo yake atapata uharibifu"