Paul Masanja mcheza mpira yupo wapi?

Paul Masanja mcheza mpira yupo wapi?

Ushirombo

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
3,558
Reaction score
2,702
jamani huyu jamaa yuko wapi? nakumbuka alikua mchezaji mzuri sana alichezea Yanga
 
Alikuwa anafanya kazi TTCL Shinyanga ila nina muda mrefu kidogo sijamwona!
 
Paulo Masanja yupo Shinyanga. Anaishi hapo na familia yake. Anafanya kazi katika mabasi ya Mohamed Trans kama agent/konda/supervisor.
Vp una salamu zake nimpe?
 
Back
Top Bottom