Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Mchungaji McKenzie analalamikia kutopewa haki za kibinadamu akiwa jela.
Anadai amekuwa akinyimwa kutoka nje na kuota jua, analalamikia GIZA la humo ndani.
Amesahau waamini wenzake wako katika GIZA kubwa zaidi huko makaburini.
#Kataa Ujinga
#Kataa Upumbavu wa Baadhi Ya Wanadini na Waganga [emoji120]
#Kataa Ugaidi Wa Kisingizio Cha Dini ,Mila Ama Siasa [emoji120]
#Jitoe Utumwani Mwa Minyororo ya vichaa wa DINI
#YetzerHatov[emoji120]
Alasiri njema amin[emoji120]