Mkalukungone Mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 3,141 Reaction score 7,205 Jun 29, 2025 #1 Paul Christian Mzindakaya alitaka Jimbo la Sumbawanga Mjini alilowahi kuongoza Baba yake Christian Majiyatanga Mzindakaya kabla ya kupumzika Siasa.
Paul Christian Mzindakaya alitaka Jimbo la Sumbawanga Mjini alilowahi kuongoza Baba yake Christian Majiyatanga Mzindakaya kabla ya kupumzika Siasa.
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,832 Reaction score 77,037 Jun 29, 2025 #2 CCM Wao Wanaachiana Tu Hata Kama Wananchi Hawataki
H His Eminence Senior Member Joined Sep 22, 2024 Posts 183 Reaction score 468 Jun 29, 2025 #3 Kila la heri,Yuko vizuri sana,atawafaa wananchi wa sumbawanga
ki2c JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 8,681 Reaction score 16,290 Jun 29, 2025 #4 Apambane na huyu hapa.. Attachments IMG-20250629-WA0022.jpg 225.4 KB · Views: 28
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,490 Reaction score 138,365 Jun 30, 2025 #5 Acha wapasuane tu NRNE ova
C Chivundu Platinum Member Joined Dec 17, 2012 Posts 14,424 Reaction score 30,799 Jun 30, 2025 #6 ki2c said: Apambane na huyu hapa.. Click to expand... Huyu jamaa mbona anaonekana choka mbaya. 😁