Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
hawa watu wanajitahidi sana kuwa waadilifu, wanazaa hawatelekezi wanaoa..hapa kwetu kila msanii anamtoto lakini ndoa hakuna...kizazi kijacho sijui kitakuwaje
Domo na Sepetu nao tuwasubiri ifikapo 2025
Thubutu! Haiwezekan list yao watakuwa wamejaza kama bus za sumry 10 kubadilisha
Hahaa sio Sumry tu haya mabasi mapya ya Dart ya mwendokasi au treni ya Mwakyembe.