Paul Pogba; Majuto ni Mjukuu.....

Paul Pogba; Majuto ni Mjukuu.....

mwanakaya

Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
56
Reaction score
183
Wakati anauzwa kwenda kujiunga na Juventus mwaka 2012 wengi walisikitika sana. Walisikitika kumuona kijana mweusi mwenye kipaji kikubwa akiondoka kwa sababu rahisi. Wakati ule Pogba alitoa sababu kwamba anaondoka kwenda kutafuta sehemu atakakopata muda mwingi wa kucheza.

Kijana huyu wa kifaransa alikuwa anaondoka kwenye klabu iliyomlea toka utotoni sababu kubwa ikiwa ni kurudishwa kwa wajina wake Paul Scholes aliyekuwa amestaafu msimu wa nyuma yake. Pogba alijiona hathaminiwi ndio maana mchezaji aliyestaafu anarudishwa kuja kucheza nafasi ya kiungo ambayo yeye pia anacheza.

Kwa upande mwingine kocha wa wakati huo Sir Alex Ferguson alikuwa anamlalamikia wakala wa mchezaji huyo Mino Riola kwamba ndio sababu ya kijana huyo kuondoka. Wengi hatukumuelewa SAF. Tulimpuuza.

Hatimaye Pogba akenda Italia na kucheza kwa mafanikio. Naada ya miaka mitano akarejea kwenye timu yake kwa kuvunja rekodi ya dunia ya uhamisho. Baada ya misimu miwili Pogba ameanza malalamiko. Hana furaha. Hafurahishwi na namna anavyochezeshwa. Hapa ndipo ninapokumbuka maneno ya Ferguson. Shida sio Pogba ni Wakala wake.

Kwangu mimi sababu anazotoa Pogba ni za kitoto. Nijuavyo timu haitakiwi kuingia kwenye mfumo wa mchezaji. Mchezaji anatakiwa aingie kwenye mfumo timu. Kuna mifano mingi, mmoja ni Wayne Rooney. Kiasili Rooney ni mshambuliaji lkn kutokana na kubadilika kwa mifumo tangu kipindi cha Ferg Wazza amechezaji nafasi tofauti. Kuna wakati alichezaji akitokea kushoto, kuna kipindi akacheza CF, kuna kipindi akacheza nyuma ya mshambuliaji hasa kipindi akicheza na washambuliaji tofauti..Berbatov, Tevez, Chicharito, RVP na hata Cadabra. Kuna kipindi alicheza namba nane. Njoo kwa CR7. Amewahi kucheza Winga ya kulia akiwa man u, akacheza kushoto akiwa Madrid, akacheza CF pia.

Pogba akiendelea kuendeshwa na Riola atapotea mapema pamoja na kipaji chake kikubwa. Yatamkuta ya Super Mario Baloteli. Kipaji peke yake bila juhudi na nidhamu ni kitu bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angekuwa mzungu asingeondoka,hamuoni Isco kavumilia sa izi kocha mpya anampa nafasi ya kutosha,Yeye alitaka namba bila kuipigania
 
SAF ni kocha ambae alikuwa anachukia sana kufanya kazi na watu weusi akiamini uwezo na utashi wetu ni mdogo

Kwanza anaamini watu weusi ni watu wanao wahi sana kiridhika na mafanikio madogo.

Lakini pia anaamini mtu mweusi hana maamuzi thabiti juu ya mustakabari wake,

Hizi point mbili kama ukizifikiria kwa umakini utaona SAF alikuwa sahihi na vyote viwili ndio vinavyo msumbua labile

Labile amemwagiwa sana sifa alipokuwa juventus kiasi kwamba alikuwa nominee kwenye balon dor ,,kwa mtu mweupe kama eden hazard,icer kasilas ,Andreas iniest hayo sio mafakio ya kumfanya arelax ila inapokuja kwa mtu mweusi kama labile mafanikio hayo yanatosha sana kumfanya ajihisi yeye ni mfalme wa mpira

Anacho hisi labile kwa sasa yeye ni zaidi midfield yoyote duniani na anahitaji special treatment as if yeye ame iajiri timu na sio tim imemuajiri yeye

Mifano ipo mingi sana ...

Na inapokuja kwenye suala la kukosa msimamo na maamuzi juu yaustakabari wake na kuendeshwa ndipo hapo anapo ingia mino riola
Just imagine academy ya Manchester united united ndio imekutoa ukajurikana na Barcelona na juventus at the same time baada ya kukuaza na kuona umuhimu wako imekununua kwa dau la kuvunja record

Heshima gani unahitaji zaidi ya kutoa ulichonacho uje uwe legendary wa baadae

Tatizo sio mino riola tatizo ni ngozi nyeusi kujuelewa ni Mara chache sana kama kina etoo na drogba ...hawa wengine hata azaliwe na kukulia ulaya ngozi yake itabaki kuwa tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
H

Kumbe tatizo WW umeliona ni ngozi yake haya bhana ila hata hao weupe unaowapenda sio perfect kama unavyotaka tuamini
 
Wakati anauzwa kwenda kujiunga na Juventus mwaka 2012 wengi walisikitika sana. Walisikitika kumuona kijana mweusi mwenye kipaji kikubwa akiondoka kwa sababu rahisi. Wakati ule Pogba alitoa sababu kwamba anaondoka kwenda kutafuta sehemu atakakopata muda mwingi wa kucheza.

Kijana huyu wa kifaransa alikuwa anaondoka kwenye klabu iliyomlea toka utotoni sababu kubwa ikiwa ni kurudishwa kwa wajina wake Paul Scholes aliyekuwa amestaafu msimu wa nyuma yake. Pogba alijiona hathaminiwi ndio maana mchezaji aliyestaafu anarudishwa kuja kucheza nafasi ya kiungo ambayo yeye pia anacheza.

Kwa upande mwingine kocha wa wakati huo Sir Alex Ferguson alikuwa anamlalamikia wakala wa mchezaji huyo Mino Riola kwamba ndio sababu ya kijana huyo kuondoka. Wengi hatukumuelewa SAF. Tulimpuuza.

Hatimaye Pogba akenda Italia na kucheza kwa mafanikio. Naada ya miaka mitano akarejea kwenye timu yake kwa kuvunja rekodi ya dunia ya uhamisho. Baada ya misimu miwili Pogba ameanza malalamiko. Hana furaha. Hafurahishwi na namna anavyochezeshwa. Hapa ndipo ninapokumbuka maneno ya Ferguson. Shida sio Pogba ni Wakala wake.

Kwangu mimi sababu anazotoa Pogba ni za kitoto. Nijuavyo timu haitakiwi kuingia kwenye mfumo wa mchezaji. Mchezaji anatakiwa aingie kwenye mfumo timu. Kuna mifano mingi, mmoja ni Wayne Rooney. Kiasili Rooney ni mshambuliaji lkn kutokana na kubadilika kwa mifumo tangu kipindi cha Ferg Wazza amechezaji nafasi tofauti. Kuna wakati alichezaji akitokea kushoto, kuna kipindi akacheza CF, kuna kipindi akacheza nyuma ya mshambuliaji hasa kipindi akicheza na washambuliaji tofauti..Berbatov, Tevez, Chicharito, RVP na hata Cadabra. Kuna kipindi alicheza namba nane. Njoo kwa CR7. Amewahi kucheza Winga ya kulia akiwa man u, akacheza kushoto akiwa Madrid, akacheza CF pia.

Pogba akiendelea kuendeshwa na Riola atapotea mapema pamoja na kipaji chake kikubwa. Yatamkuta ya Super Mario Baloteli. Kipaji peke yake bila juhudi na nidhamu ni kitu bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ubovu wa Manu ni Pogba au mnataguta mchawi? Hata akija Messi au Ronaldo, msingi wa Manu ni mbovu. Acheni kumsimgizia Pogba.
 
Back
Top Bottom