Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Wana jf naomba muwe na moyo wa huruma, hii post iko hapa wiki nzima sasa na haina comment hata moja, musituvunje moyo wakuu , muwe mnabinya angalau like basi, mtutie moyo ili tuendelee kuwaletea habari.
Mkuu mbona wewe uja like harafu unaimiza wenzako walike
Mbona nimeshalike mkuu,
Asante kwa kuonyesha mfano
Tupo pamoja mkuu