Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul amesema kiwango cha adhabu kilichopendekezwa kwenye Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Ushindani wa Mwaka 2024, kwa wafanyabiashara watakaoshindwa kuweka wazi bei za bidhaa wanazouza, kiendane na ukubwa wa biashara husika.
Muswada huo umependekeza kuweka sharti la kila mfanyabiashara nchini kuweka hadharani bei ya kila bidhaa anayouza, na kupendekeza adhabu ya faini kati ya shilingi 10,000 hadi shilingi 1,000,000 kwa atakayeshindwa kufanya hivyo.
Akichangia muswada huo bungeni leo, Gekul amesema licha ya kushushwa kwa adhabu hiyo, bado inapaswa kuzingatia ukubwa wa biashara husika.
Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul amesema kiwango cha adhabu kilichopendekezwa kwenye Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Ushindani wa Mwaka 2024...
Serikali kutunga Sheria ya sharti kuweka lebo ya bei ya bidhaa au huduma chanzo ITV habari. Nimeipenda hii maana wauzaji wengi wa bidhaa au huduma wamekuwa kama wamachinga. Hapa Serikali inaupiga mwingi kwa kuwajali walaji. Mimi nimeipenda wewe je?
Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul amesema kiwango cha adhabu kilichopendekezwa kwenye Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Ushindani wa Mwaka 2024...