Paulo Dybala afunguka na kusema hivi juu ya Messi "Sio kwamba sipendi kufananishwa ila yeye ni lejendari".

Sol de Mayo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2016
Posts
6,515
Reaction score
6,230

Paulo dybala amesema "MESSI amefanya makubwa katika historia ya soka".

Messi ni king na ataendelea kuwa king wa soka,,, ndiomaana hata mchawi mdogo wa Kiargentina a.k.a Dybala amekubali huwezi kumlinganisha na Messi.

Huyu dogo ana akili mnoo,,hiyo itamfanya kuwa player mkubwa sana hapo baadae.

Thank you so much magician Dybala kwa kulijua hilo. Messi iz the king.


Tunakukaribisha next season pale NOU CAMP kwa brother wako.
 
Lionel Messi ana kipaji kikubwa cha mpira, mafunzo ya mpira yamemuongezea kiwango.
Christian Ronaldo ana bidii sana kwenye mafunzo na mazoezi ya mpira wa miguu, jambo hili limepelekea kukuza kipaji chake toka chini hadi juu ya ubora unaokubalika.

Messi ni Kipaji kikubwa.
Ronaldo ni bidii kubwa ya mazoezi.
 
Dogo ameenda shule aisee na ndiye atavaa kiatu cha King messi hapo baadae. sio kama neimar kulalamika muda wote na kugombania kupiga penalt, na kujiona juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…