Paulo Dybala, Mchawi wa soka asiyezungumziwa na wazandiki wa soka

Paul Bruno dyabala. Huyo dogo ni pilau balaa, sivuti picha game na barca apangwe kati na sturraro na pjanic.
 
Huyu dogo haondoki msimu ujao. Nadhani juve inatakiwa wamletee msaidizi wake ambaye ni radja Naingollan.
 
Huyu dogo haondoki msimu ujao. Nadhani juve inatakiwa wamletee msaidizi wake ambaye ni radja Naingollan.
 
Mkuu yuko Sawa kabisa ushauri wangu ahamie Chelsea!!
 
hzo clip hata ukichukua za bobani ukaziunganisha unaweza kusema jamaa ni hatari kuliko hata huyo dgo
 



verrati hatari sana huyo kiumbe
 
Dybala Mnyamaa..
Mechi ya mwisho na Porto klabu Bingwa Dogo nDio alimaliza penalty, juve wakaonDoka na ushinDi wa home n Away...
Tusubiri wakiumana na Barca uefa nani atafichwa
 
Huyu pacha wa mfalme ni muhimu mno pale nou camp tunamuhitaji sana tu, na ni aibu ikitokea ameenda tim nyingine tofauti na tim kubwa duniani the blaublaugrana. kwambali RM or Man city pia patamfaa , na tena akienda RM ndio kabisaa atawaficha akina pampers
 
Kagera Fc forever!
Kuhusu media ni kweli hata hapa bongo tunaona jinsi media za wauza ngada zinavyoharibu nchi, daily kuiandama serikali. Ndo trend sasa.
 
Wewe unataka kijana wa watu asifanikiwe kisoka, mimi natamani sana atue pale Camp Nou.

Tupo pa1, huyu dogo namtabiria makubwa sana akitua barca. Ila akibaki juve tim ambayo naipenda pia atasahaulika sana, ballon zitakua zinampita hivi hivi,
 
Ongeza na Julian Brandts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…