Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Lionel Messi hadi sasa ni kiumbe ambae hatujui ametokea sayari gani kiufupi ni kiumbe Wa ajabu.
Ukijaribu kung'amua macho kwenye league zote hamna Wa kumlinganisha na huyu jamaa.
Ila ukipita pita kwa jicho yakinifu unakuja kuona dogo Paulo Dybala akiendelea kupiga kazi Kama anayoonyesha sasa Kama baada ya miaka kadhaa basi upako Wa kiumbe huyu[Lionel Messi] anaweza kuupata.
Basi kwa ujumla Paulo Dybala itakuja kumridhi mikoba ya Mu-argentina mwenzie kiumbe cha ajabu[Messi]