Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Samahan mkuuLionel Messi hadi sasa ni kiumbe ambae hatujui ametokea sayari gani kiufupi ni kiumbe Wa ajabu.
Ukijaribu kung'amua macho kwenye league zote hamna Wa kumlinganisha na huyu jamaa.
Ila ukipita pita kwa jicho yakinifu unakuja kuona dogo Paulo Dybala akiendelea kupiga kazi Kama anayoonyesha sasa Kama baada ya miaka kadhaa basi upako Wa kiumbe huyu[Lionel Messi] anaweza kuupata.
Basi kwa ujumla Paulo Dybala itakuja kumridhi mikoba ya Mu-argentina mwenzie kiumbe cha ajabu[Messi]
mkuu messi wakati anamiaka 20 tu ..Tayari alikuwa ameshauweka ulimwengu wa Moira wa miguu mikononi mwake ...
huyo Paulo dybala NI bonge LA mchezaji ila hafikii level za genius messi hata kidgo
huyo Dogo aliwahi kusema kuwa hana maelewano mazuri na messi wanapokuwa ktika team ya taifa ..na Dhani alikuwa anachkizwa na ule ufalme anaopewa Jamaa ...
sasa bwana ktika ile mechi ya mwisho ya kufuzu kombe LA dunia Russia Dogo mwenyewe alimfuata LA pulga na kumuomba radhi baada ya mechi ...achana kabisaaa na messi
kiumbe ambaye anamshauri coacher mchezeshe flani Fulani asicheze ..kiumbe ambaye anayeishauri body mnunueni Fulani ..Fulani msimnunue ..mpaka barca ilipomsajili paulinho ulikuwa niushauri wa messi watu walibeza mnooo leo waonaje team imesimama nampaka sasa haijafungwa hata mechi moja ...huyo kocha wa barca wa sasa ni pendekezo LA messi ...
yule Jamaa achana nae co mtu ni jini
I wish mess akistaafu mpira atakua kocha wa barca
messi akiwa na miaka yake alikuwa mchezaji bora wa dunia
mkuu ..mim nakuelewa wewe zaidi ""kwa kuonyesha kuwa Mawazo yko huwa yanaishi mbele ya muda siumeona kuwa "" wale black Americans wametoa movie "" inayotumia jina lako nakujikuta "" wameuza kinyama"Mkuu hearly katika ubora wako...huwa nakukubali kamanda,,, sijui ulisomea hivi vitu au kipaji! Tuambizane mzee! May Allah/God bless you...
Dyabala ni zaidi ya messi.Dybala ni zaidi ya cr7, hazard na neimar
bangi co nzur mkuuDybala ni zaidi ya cr7, hazard na neimar
“GOD SAVE THE KING”mkuu messi wakati anamiaka 20 tu ..Tayari alikuwa ameshauweka ulimwengu wa Moira wa miguu mikononi mwake ...
huyo Paulo dybala NI bonge LA mchezaji ila hafikii level za genius messi hata kidgo
huyo Dogo aliwahi kusema kuwa hana maelewano mazuri na messi wanapokuwa ktika team ya taifa ..na Dhani alikuwa anachkizwa na ule ufalme anaopewa Jamaa ...
sasa bwana ktika ile mechi ya mwisho ya kufuzu kombe LA dunia Russia Dogo mwenyewe alimfuata LA pulga na kumuomba radhi baada ya mechi ...achana kabisaaa na messi
kiumbe ambaye anamshauri coacher mchezeshe flani Fulani asicheze ..kiumbe ambaye anayeishauri body mnunueni Fulani ..Fulani msimnunue ..mpaka barca ilipomsajili paulinho ulikuwa niushauri wa messi watu walibeza mnooo leo waonaje team imesimama nampaka sasa haijafungwa hata mechi moja ...huyo kocha wa barca wa sasa ni pendekezo LA messi ...
yule Jamaa achana nae co mtu ni jini
haswaaaa“GOD SAVE THE KING”
mkuu ..mim nakuelewa wewe zaidi ""kwa kuonyesha kuwa Mawazo yko huwa yanaishi mbele ya muda siumeona kuwa "" wale black Americans wametoa movie "" inayotumia jina lako nakujikuta "" wameuza kinyama"
wewe umeanza kulitumia hilo jina kbla yao"" ulikuwa unamaanisha kitu " ambacho ktk dunia ya sasa "" kina make sense kabla ya hata watu wote kuanza kuelewa""
nirejee katika hoja ama swali lko"" binafsi ktika makuzi yngu "" nilikuwa nacheza mnoo Mpira" kabla ya ujio wa messi ulikuwa huniambii kitu kwa zizou"" so kuucheza kwangu mpira nakuufuatilia imeweza kunisaidia kiasi chake "" nakujikuta nang'amua '" mambo "" mawili matatu"" yanayouhusu "" mchezo huo""SIJAWAHI KUSOMEA MKUU""