Paulo Makonda akiwa kwenye pikipiki bila kuvaa helmet yeye na dereva wake

avae helment mtamjuaje ni yeye? now nimwendo wa kutafta kiki tu
 
angevaa helmet mwandishi waliyekuwa wanaenda kushtukiza naye angeptaje picha take...!!/
 
Ingekuwa ulaya hili tu la kutokuvaa kofia ya usalama ingetosha kumfanya ajiuzulu

 
huyu mwaka wake huu kila kitu yumooo..

anasema anasimamia sheria huku yeye mwenyewe hafati sheria za usalama....

anafikiri waliozitengeneza hizo boda boda na kofia zake walipata fa fa fa fa fa fa kam daudi bashite wa koromije
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…