Hapa inazungumzwa habari ya Yesu, wewe unaleta mambo mengine.hadithi nzuri ila umesahau pia ya kwamba miaka 600 baada ya Kristo, Muhamadi naye akaanzisha uislamu wake …
Hii post inaonyesha wazi kuwa wakristo wengi hamuifahma vizuri dini yenu, wala hamusomi hiyo bible yenyewe.Ww hujasoma Biblia vyema ukaelewa acha kupotosha ase,Paulo hajawah kukutana na Yesu,alivyoenda dameski Nan alikutana naye???
Mkuu wakristo wengi hawaifamh vizuri dini yao, na bible yenyewe anaisoma mchungaji tu, waumini wanapelekwa kama ling'ombe.Mkuu unaota wapi paulo aslikutasna na Yesu loh acha upotoshaji zingatia miaka ya yesu na ya Paulo
Hakuna mahala popote kwenye Dunia hii ambapo Yesu na Paulo walikutana, labda tusaidie kwa msaada wa maandiko kutoka kwenye hiyo bible.hadithi nzuri, usisahau ya Mtume Muhamad pia aliyeanzisha uislamu, hakuna nilipovamia kwani kuna uhusiano wa moja kwa kwa moja Mtume Paulo alikutana Yesu karibia na mji wa damaskus siria, wakati huo siria na damaskus zilikuwa Christian kabla ya Mtume Muhamad kuzaliwa kwenye karne ya 7 baada Kristo na kuvamia hizo nchi kijeshi na ndiyo ukawa mwisho wa Ukristo huko ingawaje siria bado kuna Christians wa kale mpaka leo hii hata hushereheka sikukuu ya Noeli au kuzaliwa Masia …
Hapa inazungumzwa habari ya Yesu, wewe unaleta mambo mengine.
Anzisha uzi unao elezea habari ya Muhammad kuanzisha dini yake.
Mkuu , ushauri wa busara kwako, unge-focus na dini yako unayoijua. Achana na usivovijua/vya kusimuliwa.Mkuu acha kuvamia mada zingine tujikite kwenye mada hi ya paulo.
mashetani wengi sana wameibuka kufanya juu chini kupotosha watu kuhusu Neno la Mungu, mojawapo ni wewe unaposema ukristo ulianzishwa na Paulo (saulo/sauli). Hiyo Matendo 11 hasa mstari wa 26 is not even referring to Paul, but to Peter; anayeongelewa hapo ni Petro, baada ya kuwahubiria mataifa (wasio wayahudi) na kuchangamana nao alishuka Yerusalem wenzake ambao walikuwa wanaamini kuchangamana na wasio wayahudi ni kuchangamana na uchafu walimsema sana. Yeye akawapa yale maono ya wanyama mbalimbali kutemlemka, nadhani kama uliwahi kusoma Biblia inaongelea ile issue ya Kornelio,na kwamba Mungu aliwaona wamataifa wanaomwamini sio wachafu.Baada ya kusulubiwa kwa Yesu wa Nazareti mnamo mwaka 30.Ad harakati aliyoanzisha iliendelea ndani ya mfumo wa Uyahudi wa Hekalu la Pili. Wafuasi wake wa awali, ambao walikuwa Wayahudi, walimwona kama Masihi aliyesubiriwa kwa muda mrefu lakini bado walizingatia Torati na imani ya Mungu mmoja ya Kiyahudi. Katika muktadha huu, alijitokeza mtu mpya na wa utata: Paulo wa Tarso. Ingawa hakuwahi kukutana na Yesu wakati wa maisha yake, Paulo alikuja kuwa sauti yenye ushawishi mkubwa katika kubadilisha harakati ya Yesu kuwa dini tofauti iliyokuja kuitwa Ukristo.
🟥 Kuibuka kwa Ghafla kwa Paulo
Paulo (awali Sauli) anaonekana kwa mara ya kwanza katika rekodi za kihistoria kama mtesaji mwenye juhudi wa wafuasi wa Yesu. Kulingana na simulizi zake mwenyewe, uongofu wake wa kushangaza ulitokea kupitia uzoefu wa maono ambapo aliamini Yesu aliyefufuka alimtokea. Mnamo mwaka 48AD Paulo alianza safari zake za kimisionari na kuanza kuandika barua kwa jumuiya za waumini katika Asia Ndogo, Ugiriki, na Roma. Barua hizi zilitangulia Injili na ndizo nyaraka za kwanza zilizoandikwa katika Agano Jipya.
Muhimu zaidi, Paulo hajawahi kujieleza kama mwanafunzi wa Yesu au mwasilishaji wa mafundisho yake. Badala yake, alidai kupokea ujumbe wake moja kwa moja kupitia ufunuo.
Hakuzingatia mifano ya Yesu, mafundisho ya maadili, au ujumbe wake wa Ufalme wa Mungu. Badala yake, Paulo alisisitiza kifo na ufufuo wa Yesu kama njia ya wokovu wa ulimwengu mzima, inayopatikana kwa wote — hasa kwa watu wa Mataifa — kupitia imani pekee.
🟩 Uundaji wa Theolojia Mpya
Maandishi ya Paulo yalitambulisha dhana ambazo hazikuwepo katika mafundisho ya Yesu mwenyewe:
- Yesu kama Mwana wa Mungu wa milele.
- Wokovu kupitia imani, si kwa kufuata Torati.
- Kusulubiwa kama sadaka ya ulimwengu kwa ajili ya dhambi za binadamu.
- Kanisa kama jumuiya ya agano jipya, ikichukua nafasi ya Israeli.
Tafsiri ya Paulo iliifanya harakati ya Yesu kuwa ya ulimwengu mzima, ikiitenganisha na mizizi yake ya Kiyahudi. Alitangaza kwamba watu wa Mataifa wangeweza kuwa wanachama kamili wa watu wa Mungu bila tohara, sheria za chakula, au kuadhimisha Sabato.
Hii ilikuwa mapinduzi. Yesu alihubiri kwa "kondoo waliopotea wa Israeli," na ujumbe wake ulikuwa umejikita katika sheria na unabii wa Kiyahudi. Kwa upande mwingine, Paulo alijenga mfumo wa theolojia uliomgeuza Yesu kutoka kwa Masihi wa Kiyahudi hadi kuwa mwokozi wa ulimwengu mzima.
Kwa hivyo, Paulo wa Tarso alichukua jukumu muhimu katika kuunda Ukristo kama dini tofauti, akitofautiana na harakati ya awali ya Yesu ambayo ilikuwa imejikita katika Uyahudi.
ni vigumu sana kupotosha Biblia bila kuisoma, na ninajua mnaogopa mkiisoma mtapata ufahamu, shetani hawezi kuruhusu hiyo nafasi manake atawapoteza kwa ninyi kumwacha yeye na kumwamini Yesu Kristo kama mwokozi wenu.Wakristo wanafuata mawazo ya Paulo wanadhsani ni ya Yesu masikini sako gizani bila kujua.
Baada ya kusulubiwa kwa Yesu wa Nazareti mnamo mwaka 30.Ad harakati aliyoanzisha iliendelea ndani ya mfumo wa Uyahudi wa Hekalu la Pili. Wafuasi wake wa awali, ambao walikuwa Wayahudi, walimwona kama Masihi aliyesubiriwa kwa muda mrefu lakini bado walizingatia Torati na imani ya Mungu mmoja ya Kiyahudi. Katika muktadha huu, alijitokeza mtu mpya na wa utata: Paulo wa Tarso. Ingawa hakuwahi kukutana na Yesu wakati wa maisha yake, Paulo alikuja kuwa sauti yenye ushawishi mkubwa katika kubadilisha harakati ya Yesu kuwa dini tofauti iliyokuja kuitwa Ukristo.
🟥 Kuibuka kwa Ghafla kwa Paulo
Paulo (awali Sauli) anaonekana kwa mara ya kwanza katika rekodi za kihistoria kama mtesaji mwenye juhudi wa wafuasi wa Yesu. Kulingana na simulizi zake mwenyewe, uongofu wake wa kushangaza ulitokea kupitia uzoefu wa maono ambapo aliamini Yesu aliyefufuka alimtokea. Mnamo mwaka 48AD Paulo alianza safari zake za kimisionari na kuanza kuandika barua kwa jumuiya za waumini katika Asia Ndogo, Ugiriki, na Roma. Barua hizi zilitangulia Injili na ndizo nyaraka za kwanza zilizoandikwa katika Agano Jipya.
Muhimu zaidi, Paulo hajawahi kujieleza kama mwanafunzi wa Yesu au mwasilishaji wa mafundisho yake. Badala yake, alidai kupokea ujumbe wake moja kwa moja kupitia ufunuo.
Hakuzingatia mifano ya Yesu, mafundisho ya maadili, au ujumbe wake wa Ufalme wa Mungu. Badala yake, Paulo alisisitiza kifo na ufufuo wa Yesu kama njia ya wokovu wa ulimwengu mzima, inayopatikana kwa wote — hasa kwa watu wa Mataifa — kupitia imani pekee.
🟩 Uundaji wa Theolojia Mpya
Maandishi ya Paulo yalitambulisha dhana ambazo hazikuwepo katika mafundisho ya Yesu mwenyewe:
- Yesu kama Mwana wa Mungu wa milele.
- Wokovu kupitia imani, si kwa kufuata Torati.
- Kusulubiwa kama sadaka ya ulimwengu kwa ajili ya dhambi za binadamu.
- Kanisa kama jumuiya ya agano jipya, ikichukua nafasi ya Israeli.
Tafsiri ya Paulo iliifanya harakati ya Yesu kuwa ya ulimwengu mzima, ikiitenganisha na mizizi yake ya Kiyahudi. Alitangaza kwamba watu wa Mataifa wangeweza kuwa wanachama kamili wa watu wa Mungu bila tohara, sheria za chakula, au kuadhimisha Sabato.
Hii ilikuwa mapinduzi. Yesu alihubiri kwa "kondoo waliopotea wa Israeli," na ujumbe wake ulikuwa umejikita katika sheria na unabii wa Kiyahudi. Kwa upande mwingine, Paulo alijenga mfumo wa theolojia uliomgeuza Yesu kutoka kwa Masihi wa Kiyahudi hadi kuwa mwokozi wa ulimwengu mzima.
Kwa hivyo, Paulo wa Tarso alichukua jukumu muhimu katika kuunda Ukristo kama dini tofauti, akitofautiana na harakati ya awali ya Yesu ambayo ilikuwa imejikita katika Uyahudi.
ni kwa sababu haujui Maandiko. hata kipindi Yesu Kristo yupo, alitambuliwa kama ni Mwana wa Mungu, na ni kwa sababu hiyo wayahudi walimuua, kwa sababu walisema amekufuru kwa kujiiita mwana wa Mungu.Leo sikupingi
Hawa mbuzi maandiko yako wazi ila wamechagua upotofu na wasipokaa Sawa hawataiona Neema ya Kristo na watapotea Milele nawahurumia sana,Ibilisi kafunga fahamu zao wasione kweli!ni kwa sababu haujui Maandiko. hata kipindi Yesu Kristo yupo, alitambuliwa kama ni Mwana wa Mungu, na ni kwa sababu hiyo wayahudi walimuua, kwa sababu walisema amekufuru kwa kujiiita mwana wa Mungu.
Luka 16 13 - 18; utakuta Yesu aliwauliza wale wanafunzi wake watu wanamwita nani, Petro akaeleza vile anavyoamini Yesu ni nani, Petro Amkiri Yesu kuwa Kristo na Mwana wa Mungu; NAKUWEKEA MSTARI HAPA CHINI ili ukawafundishe na wenzako;
13 Basi Yesu akaenda pande za Kaisaria-Filipi, akawauliza wanafunzi wake akasema, Watu hunena Mwana wa Adamu kuwa ni nani? 14Wakasema, Wengine hunena u Yohana Mbatizaji, wengine Eliya, wengine Yeremia au mmojawapo wa manabii. 15 Akawaambia, Nanyi mwaninena mimi kuwa ni nani? 16Simoni Petro akajibu akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai. 17Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Bar-yona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni. 18Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
ni kwa sababu haujui Maandiko. hata kipindi Yesu Kristo yupo, alitambuliwa kama ni Mwana wa Mungu, na ni kwa sababu hiyo wayahudi walimuua, kwa sababu walisema amekufuru kwa kujiiita mwana wa Mungu.
Luka 16 13 - 18; utakuta Yesu aliwauliza wale wanafunzi wake watu wanamwita nani, Petro akaeleza vile anavyoamini Yesu ni nani, Petro Amkiri Yesu kuwa Kristo na Mwana wa Mungu; NAKUWEKEA MSTARI HAPA CHINI ili ukawafundishe na wenzako;
13 Basi Yesu akaenda pande za Kaisaria-Filipi, akawauliza wanafunzi wake akasema, Watu hunena Mwana wa Adamu kuwa ni nani? 14Wakasema, Wengine hunena u Yohana Mbatizaji, wengine Eliya, wengine Yeremia au mmojawapo wa manabii. 15 Akawaambia, Nanyi mwaninena mimi kuwa ni nani? 16Simoni Petro akajibu akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai. 17Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Bar-yona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni. 18Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.
MPeeeeWayahudi hawakumuua Yesu, Acha Uongo.
Yesu hakuwa mwana wa Mungu pekee.
Wana wa Mungu wametajwa tangu kitabu cha Mwanzo
Mkuu ni rekebishe kwa kunukosoa kwa maandishi sio kuongea kumihemuko, unajua nyie wengi hampendi kusoma theolojia ya Dini yenu tana wengi ni mbumbumbu katika ukuristo, tuna jitahidi kuwapa historia sahihi mnabisha......nionyeshe kimaandishi wapi Paulo alikutana na Yesu.Mkuu , ushauri wa busara kwako, unge-focus na dini yako unayoijua. Achana na usivovijua/vya kusimuliwa.
Nasema hivii sababu umekuwa ukianzisha mada zinazohusu ukristo/bible based on ur limited understanding kila mara.
Nikurekebishe Vipi kwa uandishi wako huu wa kudonoa donoa? Kama una hamu ya kuujua ukristo Karibu kwa mafundisho na Kama una maswali ntakujibu yote.Mkuu ni rekebishe kwa kunukosoa kwa maandishi sio kuongea kumihemuko, unajua nyie wengi hampendi kusoma theolojia ya Dini yenu tana wengi ni mbumbumbu katika ukuristo, tuna jitahidi kuwapa historia sahihi mnabisha......nionyeshe kimaandishi wapi Paulo alikutana na Yesu.
Mkuu acha kuvamia mada zingine tujikite kwenye mada hi ya paulo.
Tofauti ya yesu na paulo ni miaka 200 walikutana wapi, paul anasema amekutana na yesu kama anavyodai yule mfalme wa mwanzaWw hujasoma Biblia vyema ukaelewa acha kupotosha ase,Paulo hajawah kukutana na Yesu,alivyoenda dameski Nan alikutana naye???
Then What alikutana uzuri wa uslam kila kitu kipo wazi sio nyie mnafanya editing kila waktMohammed influenced by Christians.
Muslims believe Muhammad received his revelation directly from Allah through the angel Gabriel and became a prophet at the age of 40. They insist there was no human intervention in the process.
While Muslims insist Muhammad had no influence whatsoever from Christians, their history reveals differently.
However, the Muslim narrative itself reveals that when Muhammad was between 9 and 12, he met with a Christian monk in Syria. The monk told him Christian tales. Additionally, when Muhammad allegedly received his first divine revelation, he went to his wife’s cousin who was also a Christian and an expert in the Hebrew Bible. Thus, while Muslims insist Muhammad had no influence whatsoever from Christians, their history reveals differently.