TEMBO WANGU
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 930
- 1,290
Ziwekee rangi ya Red okside, zitapendeza Sana.Wakuu naombeni ushaur wenu nitumie mbinnu gani zirud kuwa mpya???
Wakuu naombeni ushaur wenu nitumie mbinnu gani zirud kuwa mpya???
Kijani na njano kisha Zipange vizuuuuuuuuri itokeee jembe na nyundo. Chini andika JPM, chama kimerudi kwa wenyenachoWakuu naombeni ushaur wenu nitumie mbinnu gani zirud kuwa mpya???
Haha,Natumae mleta mada ulipata muongozo...
Hakika...Haha,
Mzee wa miongozo hujawahi niangusha..!
Ita fundi toa zote tandika nailon jeusi (wanayajua mafundi) kisha panga paving zakoMimi kwangu zinaota nyasi kwenye maungio, nifanyeje ili kuzuia nyasi kuota?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafkir ulifanya makosa mwanzoni ,ilitakiwa uweke DPM polythene (plastic cover) ili kuzuia nyasi kuota, suluhisho hapo ni kuzitoa zote uweke hiyo DPM ,ndo ziwekwe upyaMimi kwangu zinaota nyasi kwenye maungio, nifanyeje ili kuzuia nyasi kuota?
Sent using Jamii Forums mobile app