Aya majitu kuna mengine yalikuwa yamechanjiwa mitishamba mwilini ama ni nguvu za asili?
Kuna Power Mwanza alafu Power Mabula hizi njemba nilishawai kuona shughuli zao,sio za kitoto.
Japo wengi waliamini ni mchezo wa mazingaombwe, lakini wahusika wa mchezo huu wanasema hauna uhusiano wowote na mazingaombwe wala ushirikina bali ni mchezo wa sayansi ya akili.