Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Activation code zimetumwa kwenye bank statement yako mkuu, nenda bank waombe wakupatie bank statement utazisoma huko , au kama ulisajili e-mail yako wakati unafungua account waombe wakutumie bank statement via e mailNimelink debit card ambayo ni visa ATM card ya Equity bank.
Pay pal washadeduct $1.91 kwenye card yangu kama malipo ya activation. Tatizo hizo codes ndio sijui zinatumwa wapi. angali attachement ya snap mnipe msaada tafadhali.View attachment 1444585