Nimelink debit card ambayo ni visa ATM card ya Equity bank.
Pay pal washadeduct $1.91 kwenye card yangu kama malipo ya activation. Tatizo hizo codes ndio sijui zinatumwa wapi. angali attachement ya snap mnipe msaada tafadhali.
Nimelink debit card ambayo ni visa ATM card ya Equity bank.
Pay pal washadeduct $1.91 kwenye card yangu kama malipo ya activation. Tatizo hizo codes ndio sijui zinatumwa wapi. angali attachement ya snap mnipe msaada tafadhali.View attachment 1444585
Activation code zimetumwa kwenye bank statement yako mkuu, nenda bank waombe wakupatie bank statement utazisoma huko , au kama ulisajili e-mail yako wakati unafungua account waombe wakutumie bank statement via e mail