Kumbakumba
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 222
- 18
Rafiki zangu hili la PAYE (pay as you earn) mmelielewa lakini??? 25% ya mshahara off?????kwa kazi gani nzuri serekali inayotufanyia??? Na bado eti NSSF/PPF huchukui mpaka age of 55.....Mnaelewa lakini???...kwa mfumo mbovu wa ukusanyaji kodi wa nchi hii, huu ni msumari kwa wafanyakazi..Wafanyabiashara wataendelea kuwa wafalme wa nchii hii kwa kutokulipa kodi huku wafanyakazi tukiendelea kuteseka..
tumia link hii kufahamu makato yako ya kodi:http://www.tra.go.tz/documents/Paye.htm
Tunahitaji kuchukua hatua, tena haraka bila kuchelewa..
Mkuu nashukuru kwa kunishtua. Nafikiri kuna mabadiliko kidogo kuanzia July.Rafiki zangu hili la PAYE (pay as you earn) mmelielewa lakini??? 25% ya mshahara off?????kwa kazi gani nzuri serekali inayotufanyia??? Na bado eti NSSF/PPF huchukui mpaka age of 55.....Mnaelewa lakini???...kwa mfumo mbovu wa ukusanyaji kodi wa nchi hii, huu ni msumari kwa wafanyakazi..Wafanyabiashara wataendelea kuwa wafalme wa nchii hii kwa kutokulipa kodi huku wafanyakazi tukiendelea kuteseka..
tumia link hii kufahamu makato yako ya kodi:http://www.tra.go.tz/documents/Paye.htm
Tunahitaji kuchukua hatua, tena haraka bila kuchelewa..
Mkuu hiii kitu acha tuu, maskiti watanzania? na bado
Waalimu na Madaktari wanashitakiwa na serikali mahakaman,
Nikiichungulia hela ninayoipa serikali hii nashangaa kwa nini inaendelea kuwa dhaifu tu. Ukiwaza sana waweza pasuka kwa hasira, halafu eti tuna wabunge!