PAYE ya 1% iliyopunguzwa kwa mshahara wa basic ya laki 9.5 ni kiasi gani?

Leverage

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2021
Posts
2,125
Reaction score
3,150
Mwenye uzoefu wa kukokotoa kodi (PAYE) kwa hiyo 1% iliyopunguzwa ni sawa na kiasi gani tutegemee Julai?

Au nipeni kikokotoo nifanye mwenyewe.

Ahsanteni
 
Chukua gross salary yako zidisha kwa 0.01. Kama mshahara wako ni 700,000 then zidisha kwa 0.01

NB: Nakushauri kama una watoto wakazanie wasome sayansi na hesabu dunia ya leo kama hujui sayansi na hesabu imekula kwako!!
 
Hesabu za kodi PAYE haziko hivi mkuu.

Umemwingiza chaka!
 
Kwani 1% inawagusa wenye mshahara wa laki 7. Mi navojua lile punguzo la kutoka 9% mpaka 8% ni wale wa mshahara usiozodi 520k
 
Rais kasema inawahusu wote hadi yeye mwenyewe
 
Kumbe unajua afu unauliza nini ?? Acha ukuku wewe na unafiki ?? Umepewa jibu huliamini

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
Jibu lake sio sahihi sababu
Magufuli mwaka jana alishusha kodi kwa 2% hivyo kwa hesabu za huyo jamaa 2% ya laki 9.5 ni 19000.
Lakini ukiangalia huku ilipungua karibia 41,000/=
Hii inamaanisha kuna namna ya kukokotoa hesabu za kodi
 
Mwenye uzoefu wa kukokotoa kodi (PAYE) kwa hiyo 1% iliyopunguzwa ni sawa na kiasi gani tutegemee Julai?
Au nipeni kikokotoo nifanye mwenyewe.
Ahsanteni
950,000/100 × 1
Ongezeko ni sh 9,500
 
Back
Top Bottom