Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo unaomba msaada hivi?!Anayeelewa kuhusu paypal ataelewa nilichokiandika
Mkuu Nina account wame ihold nahitaji msaada jinsi ya kuverify
Mtafute mtu anaitwa papysh money Instagram hapo verifications ya aina yyte anasolve
Nasikia harufu ya kupigwa mtu hapa...(FURSA HAIFUATWI..WAWEZA WEYE KUA FURSA)Papi shmoney....muaminifu balaaa
Paypal /safaricom verify identity na kitambulisho/passport uliotumia ku register na safaricom (upload to paypal). Account itafunguliwa muda usiozidi masaa mawali.Ni nani aliwahi kufungua account ya paypal labda Kenya halafu hela ikaingia wakaihold? Na je alifanikiwa kuifungua au ndiyo alikubali pesa ipokee kwakushindwa verify identity na documentations hakuwa nazo?
Line za safaricom za watu wengi tunazinunua kwa watu ambao wanazisajili na kutuletea hapa hapa tu unapewa jina la usajili mwaka wa kuzaliwa na namba ya kitambulisho bila copy ya kitambulisho.Paypal /safaricom verify identity na kitambulisho/passport uliotumia ku register na safaricom (upload to paypal). Account itafunguliwa muda usiozidi masaa mawali.
Uboya ni mzigo mzito....unajua maana ya kuverify?nasikia harufu ya kupigwa mtu hapa...(FURSA HAIFUATWI..WAWEZA WEYE KUA FURSA)
Mkuu inaelekea una trade forex, kama ndivyo tumia bitcoin ni njia rahisi kuliko hii mizungukoLine za safaricom za watu wengi tunazinunua kwa watu ambao wanazisajili na kutuletea hapa hapa tu unapewa jina la usajili mwaka wa kuzaliwa na namba ya kitambulisho bila copy ya kitambulisho.
So wakihold shida inakuwa ni kupata hiyo copy ya kitambulisho
Kama unayo passport fika hapo Nairobi au mombasa kasajili line ya safaricom kwa jina lako urahishishe maishaLine za safaricom za watu wengi tunazinunua kwa watu ambao wanazisajili na kutuletea hapa hapa tu unapewa jina la usajili mwaka wa kuzaliwa na namba ya kitambulisho bila copy ya kitambulisho.
So wakihold shida inakuwa ni kupata hiyo copy ya kitambulisho
No mkuu si trade forex nafanya freelancing, sema nilijaribu mara moja tumia bitcoin kupitia kununua na kuuza kwenye localcoin yani kwenye laki nane nilipoteza kama 70000 na nilitumia skrill siyo paypal so nilitaka ela ije mpesaMkuu inaelekea una trade forex, kama ndivyo tumia bitcoin ni njia rahisi kuliko hii mizunguko
Papi shmoney....muaminifu balaaa
Mimi ili nimeliovercome, nimeanzisa hhii tread ili watu wacanie na wengine wapate njia maana ni tatizo la wengi. Mimi ilifungwa Jumatano last week, ijumaa nikafanya mchakato wakuifungua leo wakaifungua lakini njia niliyotumia ni haramuKama unayo passport fika hapo Nairobi au mombasa kasajili line ya safaricom kwa jina lako urahishishe maisha
Kama uko serious kweli na biashara zako
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes localbitcoin unapobadili unapewa bei ndogo.No mkuu si trade forex nafanya freelancing, sema nilijaribu mara moja tumia bitcoin kupitia kununua na kuuza kwenye localcoin yani kwenye laki nane nilipoteza kama 70000 na nilitumia skrill siyo paypal so nilitaka ela ije mpesa
Skril ina majanga mengi hadi mastercard sometimes zinazinguaYes localbitcoin unapobadili unapewa bei ndogo.
Lakini njia salama na rahisi zaidi.
Skrill tatizo namna ya kutoa skrill kuja kwako bank hazikubali na ukipitia safaricom bado makato ni makubwa mno