Ajabu sana.. Yaani inabidi nicheze pata potea. Mgeni anafanya booking ya kazi na kukubaliana nae alipe akifika japo anaweza badili maamuzi hata akiwa airport akikutana na lower bid on the same service.Haya mambo tushaongea sana bado serikali yetu imelala.
Wako tayari tukose fedha za kigeni au pesa zetu ziende zikakatwe kodi Kenya kupitia Safaricom.
Ndio maana sisi bado ni LDC na Kenya hawapo huko LDC.
Kama wewe ni tour operator, kuna hii kampuni inaitwa (Direct pay online) mgeni anaweza kulipa online and offline.. jaribu kuwatafuta ni wazuri..Mimi ndio nawatumia kama mgeni anataka kunilipa online uwanamtumia email transaction .Ajabu sana.. Yaani inabidi nicheze pata potea. Mgeni anafanya booking ya kazi na kukubaliana nae alipe akifika japo anaweza badili maamuzi hata akiwa airport akikutana na lower bid on the same service.
Inakatisha tamaa ila tutafika tu
Good advice... Vp makato yao?Kama wewe ni tour operator, kuna hii kampuni inaitwa (Direct pay online) mgeni anaweza kulipa online and offline.. jaribu kuwatafuta ni wazuri..Mimi ndio nawatumia kama mgeni anataka kunilipa online uwanamtumia email transaction .
Sent using Jamii Forums mobile app
Napataje iyo laini ya safaricom nduguChukua line ya Safaricom(Kenya) iliyo na MPESA fungua account nchi yako andika Kenya..link PayPal to your MPESA account.
Pesa itakuwa inaingia direct kwenye MPESA then fanya transfer..
Ila transfer fees zipo juu kweli mimi mwenyewe nilikuwa na changamoto kama hiyo..