hey wazeeya,wakubwa nimekua nikijaribu kufungua payapal kwa crdb visa bila mafanikio...card nimeiunganisha na internet banking ila kila nikijaribu ku confirm napata
We were unable to verify this credit card. Please check if the information you entered is correct. Please also make sure your credit card billing address matches your PayPal street address.naombeni msaada wenu.
wandugu..nipen tafu kujua postal code me naishi bahari beach dsm
+255 postal code ya Tanzania
Naanza kuwa interested na mimi!Uwezekano mkubwa ni kwamba kama ulijaza ile one page form ya CRDB kwa ajili ya online purchase basi huenda hizo details zako ziitakuwa hazijasajiriwa na CRDB international house. Kwa hiyo fuatilia hiyo fomu mara nyingi ni kwamba mteja akishajaza kunakuwa na uzembe kwa watu wa branches kuzituma international house (wanatuma kwa fax). Kama vipi nenda CRDB waombe wa-confirm na International house its just a phone call!
Vinginevyo PayPal ni safi sana!