Paypal merchant account ( payable account )

Paypal merchant account ( payable account )

MakaveliTz

New Member
Joined
Dec 19, 2018
Posts
1
Reaction score
0
Habari,
Hivi kwa mfanyabiashara anaeuza bidhaa nje ya nchi akitaka kulipwa kwa kutumia paypal afanyaje? Tanzania haiko listed kama unaweza ku receive money kwa paypal
 
OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL
 
unafungua account paypal kisha unajaza namba yako ya bank kisha ukimaliza kujisajili ukitaka kununua icho kitu una click tu account yako ya bei unaichange iwe dollar kisha unafanya manunuzi
 
unafungua account paypal kisha unajaza namba yako ya bank kisha ukimaliza kujisajili ukitaka kununua icho kitu una click tu account yako ya bei unaichange iwe dollar kisha unafanya manunuzi
Muelewe jamaa vizuri, ameulizia kuuza bidhaa sio kununua.
 
Habari,
Hivi kwa mfanyabiashara anaeuza bidhaa nje ya nchi akitaka kulipwa kwa kutumia paypal afanyaje? Tanzania haiko listed kama unaweza ku receive money kwa paypal
Ukishafungua membership Account ya Paypal kuna maelezo ya kuhusu kuuza au kununua wameelekeza pale.

Ukishasoma procedure za kuuza bidhaa yako litakuja suala la namna ya wewe kupata pesa yako kupitia Bank A/C
 
Back
Top Bottom