MakaveliTz
New Member
- Dec 19, 2018
- 1
- 0
Muelewe jamaa vizuri, ameulizia kuuza bidhaa sio kununua.unafungua account paypal kisha unajaza namba yako ya bank kisha ukimaliza kujisajili ukitaka kununua icho kitu una click tu account yako ya bei unaichange iwe dollar kisha unafanya manunuzi
Ukishafungua membership Account ya Paypal kuna maelezo ya kuhusu kuuza au kununua wameelekeza pale.Habari,
Hivi kwa mfanyabiashara anaeuza bidhaa nje ya nchi akitaka kulipwa kwa kutumia paypal afanyaje? Tanzania haiko listed kama unaweza ku receive money kwa paypal