Paypal: Msaada please

Paypal: Msaada please

don-mike

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
600
Reaction score
1,178
Guys nahitaji pata card ya fasta ya kujiunga na paypal, Je niende bank gani nayoweza pata viza/mastercard ya kununua itayoweza niunganisha na paypal with a short period of time?
 
ABC wanakupa kadi siku hiyo hiyo! Hao wengine inabidi usubiri 2 weeks, kisha ukipata kadi uanze mchakato mwingine wa kuomba internet banking! Itakupa kama miezi kadhaa!
 
ABC wanakupa kadi siku hiyo hiyo! Hao wengine inabidi usubiri 2 weeks, kisha ukipata kadi uanze mchakato mwingine wa kuomba internet banking! Itakupa kama miezi kadhaa!

habari mkuu,
samahani najua hii post ya muda mrefu kidogo ila naomba msaada wako katika matumizi ya kadi ya Bank ABC katika kufanya manunuzi online.

nilifungua akaunti hiyo uliyotaja ya kupata kadi siku hiyohiyo pale banc ABC tawi la kariakoo na nikafanikiwa kupata hiyo kadi ambayo imeandikwa Visa travel money na lengo lilikuwa ni kuitumia kadi hii kwa online transactions hasa paypal. ila kila nikiisajili inakuwa inakataa je kuna process nyingine za kufuata ili iweze kukubalika kufanya manunuzi online?

hivi sasa niko mkoa ambao benki hii hawana tawi hivyo nashindwa kufika benki kuulizia na nikipiga simu benki wanasema inaweza kutumika bila kujaza fomu yoyote ya ziada kama ambavyo crdb wanafanya.
je wewe mkuu ulifanikiwa kwa njia gani?

NB: kuiwekea fedha naiwekea kama kawaida kwa mpesa na pia inakubali kudraw fedha kupitia ATM zinazopokea visa/master card.

naomba msaada wako mkuu.
 
Back
Top Bottom