Paypal msaada

Paypal msaada

mambo ya nyakati

Senior Member
Joined
Aug 24, 2022
Posts
115
Reaction score
146
Habar wakuu

Juzi hapa nimefungua paypal kwamara ya kwanza, nikaunga na VISA card IlA sasa nikitaka kutuma pesa au malipo yoyote kwa kutumia paypal hela inakatwa kwenye VISA card niliyounga.

Je, nauliza nikipokea pesa kwenye paypal yangu inaingia moja kwamoja kwenye VISA card au inakuwaje?

Na je kama inaingia kwenye VISA maana yake naweza kutoa tu mojakwamoja hela kwa mpesa kwa kuitoa kwenye VISA?

Naombeni msaada wenu
Asante.


Screenshot_20230119-120336.jpg
 
Mpaka mwaka jana mwezi wa 6, paypal a/c inayofunguliwa kwa njia ya kawaida ukiwa Tanzania ilikua haikubali kupokea.
 
Njoo nikutengenezee PayPal ya uk ambayo utapokea pesa popote duniani njoo na 45k chap kwa haraka
 
Back
Top Bottom