Paypal na ebay zinaweza kutengana kwa sababu ya ebay kupendelea mfumo wa malipo Adyen

Paypal na ebay zinaweza kutengana kwa sababu ya ebay kupendelea mfumo wa malipo Adyen

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Kampuni ya paypal kwa habari zilizopo inakamilisha mpito wa mikataba yake ifikapo julai 3 2023. Kujiondoa na ebay swala la malipo.
sababu zilizopelekea paypal mpango wa kujiondoa ni kutokana na kushuka sana mauzo ya hisa asilimia -36.23%.

Hata hivo mfumo mpya mbadala utakuwa kwenye malipo ya Adyen.

Historia ya Paypal:

Tuna fahamu Paypal kufanya vizuri kwenye mfumo wa malipo duniani ila kwa sasa imekosa utumiaji mkubwa na wateja kulingana na sheria baazi za nchi na kiwango cha pesa kati ya mtoaji na mtumiaji.

Hata hivo nao mfumo wa cryptocurrency unaweza kuwa umechangia paypal kushuka kwenye hisa.

Ila paypal naye kajiongeza kukubali cryptocurrency

IMG_4604.jpg

IMG_4609.jpg
 
Dunia inahamia kwenye digital currency kwa kasi, sisi huku ndio kwanza tunaipiga vita kali hiyo Paypal nchini kwetu.

Ni aibu sana hadi leo kushindwa kupokea malipo toka nje, serikali inakosa kodi nyingi sana.

Shame.
 
Back
Top Bottom