PayPal na Webmoney

kalwani

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
30
Reaction score
2
Habari wadau naomba msaada.

Je paypal unaweza kulipwa pesa yako ukiwa Tanzania?

Na je, webmoney kwa Tanzania inafanya kazi?
 
Paypal Tanzania haipokea pesa labda ucheat kwa kutumia VPN ufungue akaunti kama uko nchi nyingine
Habari wadau naomba msaada.

Je paypal unaweza kulipwa pesa yako ukiwa Tanzania?

Na je, webmoney kwa Tanzania inafanya kazi?
 
Usitumie VPN

Jichange tu nunua line ya Safaricom Tanzania zipo 10000 kwa 15000. Then jisajili na Paypal.

Hautasumbuka tena utawithdraw mpaka uchoke.
nitapata wapi laini ya safaricom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…