Paypal Tanzania kuna shida gani?

NguoYaSikuKuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
681
Reaction score
1,020
Wakuu salamu,

Nimejaribu kununua bidhaa Ebay kwa kutumia Paypal nashindwa kabisa kulipia.
Inaleta kitu kama hiki chini.

Lakini siwezi kuproceed na Payment.
Any idea kwa mtu aliyefanya manunuzi recently na Paypal?

hiyo hela si ipo direct kwenye PayPal? maana ingekuwa kwenye virtual kadi ingekubali kwa harakaharaka hapo inabidi uongezee hela ya makato..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…