Najaribu kustructure project ya kuwezesha kutoa pesa za PayPal hapa TZ, kwa kuwa kwa sasa haiwezekani ila tunaweza take advantage ya kutumia product hizi 3 kufanikisha
1. M-Pesa open API
2. DirectPay API
3. PayPal API
ambapo itakuwa hivi
1. kwa kuwa M-Pesa API inaruhusu huduma C2B, B2B, B2C nk, itawezesha mteja kupokea malipo yake moja kwa moja
2. Kwa kuwa Direct Pay API inapokea malipo kutoka PayPal na unaweza track all transaction via API, hii itawezesha automatic confirmation ya mteja aliye withdraw pesa zake kwenye PayPal kwa kulipa kwenye Direct Pay account ambayo inatumika kufanya collection ya PayPal money. Pia, via listener URL utaweza kujua kama payment zimefanyika then API ita_fire M-Pesa API na ita call B2C API ambayo ita release pesa kwa account ya M-Pesa ya mteja.
the following is just a simple structure ya itavyokuwa kama una idea ya kuchangia ili tufanye kitu iweke hapa
NB: nimeshafanya integration kadhaa za Paypal, Direct Pay, lakini pia nimeplay na M-Pesa API sandbox so nina 70% za uhakika kuwa it is possible.