trojan Member Joined Feb 12, 2016 Posts 77 Reaction score 27 Jun 5, 2019 #1 Nahitaji cash paypal , mwenye balance na anahitaji kuexchange anicheck PM.
Good Guy JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 3,815 Reaction score 1,424 Jun 6, 2019 #3 trojan said: Nahitaji cash paypal , mwenye balance na anahitaji kuexchange anicheck PM. Click to expand... kwa nini usitumie card au mpesa kufanya manunuzi hayo unayotaka kuyafanya mkuu?
trojan said: Nahitaji cash paypal , mwenye balance na anahitaji kuexchange anicheck PM. Click to expand... kwa nini usitumie card au mpesa kufanya manunuzi hayo unayotaka kuyafanya mkuu?
Nyenyere JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 14,804 Reaction score 10,715 Jun 6, 2019 #4 trojan said: Nahitaji cash paypal , mwenye balance na anahitaji kuexchange anicheck PM. Click to expand... Kwa Tanzania imeondolewa kwenye "black listed countries" mpaka uweke pesa paypal?
trojan said: Nahitaji cash paypal , mwenye balance na anahitaji kuexchange anicheck PM. Click to expand... Kwa Tanzania imeondolewa kwenye "black listed countries" mpaka uweke pesa paypal?
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,048 Reaction score 15,465 Jun 6, 2019 #5 Tumia mpesa kenya. Hapa utasumbuka tuu
DAGAA WA MWANZA Senior Member Joined Jan 27, 2019 Posts 169 Reaction score 465 Jun 6, 2019 #6 Nyenyere said: Kwa Tanzania imeondolewa kwenye "black listed countries" mpaka uweke pesa paypal? Click to expand... Siyo kweli mkuu haijaondolewa, upo Tanzania ipi
Nyenyere said: Kwa Tanzania imeondolewa kwenye "black listed countries" mpaka uweke pesa paypal? Click to expand... Siyo kweli mkuu haijaondolewa, upo Tanzania ipi
Chipukizi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 4,409 Reaction score 6,773 Jun 6, 2019 #7 trojan said: Nahitaji cash paypal , mwenye balance na anahitaji kuexchange anicheck PM. Click to expand... weka pesa kwenye MPESA MASTER CARD.kisha load kwenye paypal.ni raisi sana na huakika zaid
trojan said: Nahitaji cash paypal , mwenye balance na anahitaji kuexchange anicheck PM. Click to expand... weka pesa kwenye MPESA MASTER CARD.kisha load kwenye paypal.ni raisi sana na huakika zaid