ANKOJEI
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 996
- 745
mwisho wa mwezi ukifika payslip inoposoma karibu na zero! najiluza maswali mengi sana. Aibu inaniingia mwanaume wa nguvu ivi watu wakijua payslip inasoma karibu na zero itakuwaje. watoto wangu wakijua itakuwaje. ivi tutafika kweli???
ukizingatia mwisho wa mwezi unaangukia weekend da,
michango ya harusi kadi kibao mezani,
wadogo wawili wanataka ada za shule,
wanangu nguo za kuvaa zimechanika mogotini, lakini uyu mvulana hamna noma. atavumilia tu!
waifu hajaenda saloon tangu mwisho wa april,
wadau hii imekaa vibaya. NARUDI KIJIJINI. kwa mara ya Pili,