Paza sauti Mtanzania Kocha Nabi afukuzwe kazi mara moja

Wadau hamjamboni nyote?
Lazima tuseme ukweli bila kuona haya wala kuwa na hofu

Profesa Nabi hatufai tena kutuongoza

Yafaa atumbuliwe mapema kadri iwezekanavyoView attachment 2389794
Huyu hawezi fukuzwa. Ni mwarabu mwenzetu. Huu ndiyo ukweli ila subiri povu toka kwa utopolo.

Nabi ni kocha wa kuwafunga Ihefu na Mbeya kwanza lakini siyo timu kama Al Hilal au River plate🤣
 
Tatizo sio kocha, Nabi ni kocha mzuri sana... Tatizo kuna muda vikosi vyetu vinapangwa na viongozi wa timu na sio kocha.

Hakuna kocha mwenye akili atampanga kisinda kwenye mechi muhimu kama ile akamuacha Farid ama Moloko nje..

Hakuna kocha mwenye akili atahitaji usajili wa viungo wengi wakati beki zake ni mbovu... Hakuna
 
ACHA U KM NAMBI HAJAWAHI KUWA PROFESA HATAKUWA PROFESA NA HAWEZI KUWA PROFESA.

HILI JINA LA PROFESA LINA HADHI NA WATU WAKE.

Hana hata Diploma.
PERIOD
 
gsm atuachie timu yetu katudanganya kasajili mchezaji kutoka ligi ya uingereza kwa gharama kubwa alafu tumeshindwa kupita Champions wakati na sisi ni Champion wa hii nchi.

gsm out.
Akikuachiaa utaweza kulipa gaharama za kuendesha timu au unasema tuu kushinda na kushindwa yote matokeo ila kama upo fresh fadhili timu laa sivyo acha povu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…