Curtain_mastertz
Member
- Jun 16, 2013
- 25
- 19
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka nini shida kwenye biashara za watu ?
Tunanogesha tangazoKaka nini shida kwenye biashara za watu ?
Na hili ni pazia?😂😂
Pazia pamoja na muuzaji bei gani
Wewe wasema😀😃😅😂🤣Na hili ni pazia?😂😂
Mh una wazo zuri Ila Sasa inabidi ninyi Kaka wakubwa mtambue jamiiforums imevamiwa na tuvijana twa hovyo .Tunanogesha tangazo
🤣😂😅😃😀Mda huu usishangae yupo kijana kajificha anafanya ujinga na hii picha ya huyu dada
Hapa pichani ni wewe? Basi unafaa kwa matumizi ya ziada ya ndani. Ngoja mke wangu akisafiri nitakutafuta tuyajenge kiundani zaidi.