Pazia la hekalu linapasuka, asante wenye CCM

Pazia la hekalu linapasuka, asante wenye CCM

Joshua justine

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2021
Posts
792
Reaction score
1,015
Chama kimeshatekwa na wahuni hakuna atakae kikomboa tena kwa sasa kwani wale wazee waliokuwa na nguvu hizo wamejichokea kwa sasa na wengine tayari wameenda zao.

Wahuni wakiongozwa na boys 2 men ni very organized walijua kuwa wanaowabana ni wazee ila watakuja kuphase out tu siku moja; wao wakawekeza kwenye vijana, kuwarubuni na kuwafundisha na kuwapandikizisha mbegu za ufisadi vijana UVCCM ambao ni watoto tu wala hawana uchungu na mizizi ya chama na taifa, hawakuwepo enzi hizo. Vijana wanachoona na kujua na kuambiws ni maisha ni magumu chukua chako mapema.

CCM kupona mikononi mwa kizazi hicho tena under boys 2 men ni ndoto za alinacha, tusubiri muda utaongea wenyewe.

JamiiForums1909797484.jpg
JamiiForums2082344839.jpg
JamiiForums243720861.jpg



 
Chama kinabebwa na dola kwa muda mrefu sasa. Ufa usipouziba utajenga ukuta sasa hata kile kituo cha kuhesabia na kuungia viungo kura kule Masaki mtakitaja.
Dada kuna watu walikuwa wanamalengo yao humo kwa miaka mingi sana, tatizo ndio hao sio chama

We ukiona lupaso na jiwe vinafuatana hujiulizi tu mkuu
 
Apa Mepanda BUTI LA ZUNGU naelekea ntwaraaa kuangalia fursa za uwekezaji na kula chamaki nchangaaa ... Chama kina wenyeweee
 
Zama zenu mataga zimeisha, tulieni tu kwa sasa.
 
Ni afadhali Mara mia wahuni kuliko washamba, wahuni hawajawahi kuwa watu wabaya since day one, wahuni wanajua kula na kipofu, washamba gang kafieni mbali nyau nyie.
Wote hawana afadhali.....hao wanaokula na kipofu ndio wanaokula kingi na kuwalaza vipofu njaa na huficha chakula kinachobaki.
 
Kuna dalili za huo upinzani wa kweli? Kama wakikosoa wanaomba msamaha, wakipewa teuzi wanashukuru, wakitumbuliwa wanashukuru?
Mkuu nchi hii lazima ubeep, upime upepo, watanzania hatuna tabia ya kusupport mwana mageuzi, tunaenjoi kama vile ni story isiyotuguaa maisha yetu hivyo hakuna mtu wa kuongoza mapinduzi kwenye mazingira hayo lazima mtu ataona ni bora aangalie familia yake tu,
 
Ni afadhali Mara mia wahuni kuliko washamba, wahuni hawajawahi kuwa watu wabaya since day one, wahuni wanajua kula na kipofu, washamba gang kafieni mbali nyau nyie.
Wahuni hawaja ng'oa watu kucha na meno bila ganzi? Mwangosi yupo wapi? ubaya gani zaidi ya huo? Kula na kipofu muachwe mharibu taifa kwa uzembe wenu,mle bila kazi,leo mjisifia uombaomba mnatafuta wawekezaji mmesahau tanesco,reli kwa uvivu huu maendeleo tusahau lbd lile la kula kwa urefu wa kamba.
 
Back
Top Bottom