Pazia la ligi kuu ya NBC kufunguliwa leo 16 Agost, 2024

Pazia la ligi kuu ya NBC kufunguliwa leo 16 Agost, 2024

Ligi kuu Tanzania Bara maarufu kama NBC premier league kuanza kutimua Vumbi hii leo Agosti 16 2024 ambapo mchezo wa kwanza kwa msimu wa 2024/25 unapigwa leo kati Ya Pamba Jiji Fc [emoji739]️ Tanzania Prisons
Toa taarifa kamili Boss... Mechi itakua saangapi? Wapi ?
 
Toa taarifa kamili Boss... Mechi itakua saangapi? Wapi ?
Wafuatiliaji tushaelewa kuwa chimbo litakuwa ni Mwanza

Maana Kirumba haijafungiwa na leo mechi ni moja kwa hiyo kitapigika saa kumi tu

Mleta habari ameacha tujiongeze, tukipatia sawa tukikosea potelea mbali, hana muda
 
Tatizo mnakariri maisha. Pamba wanajua wanapaswa kutumia vyema home ground (CCM Kirumba) maana kushinda huko kwingine ni changamoto haswaaa.They've that in thing in mind.

Kwani Prisons hawakufungwa msimu uliopita na timu za NBCL?
Pamba wana kikosi kipya chote na wapinzani wao wamefanya maboresho, upya wa Pamba ndio ndio mwanzo wa kupigwa leo

Chief tutafutane jioni kupeana matokeo
 
Back
Top Bottom