Pazia la Tanzania Premier League 'TPL' kufungwa leo Viwanja Tofauti, Mtibwa Sugar Vs Simba SC

Kagera angekosa zile pointi 6 kutoka kwa simba angeshuka moja kwa moja bila kucheza 'play off'! Ama kweli kila mtu na kibonde wake!
 
Taarifa zilizopo kagera sukari ameshuka kwa sheria ya head to head na stand united hivyo stand united atacheza play off na pamba source ni e sport jion hii

Hivi kuna kanuni ya ' head to head katika ligi yetu? Kama ni kweli nitaumia sana!
 
Thanks hata mimi na wish kagera ashuke
 
Kagera angekosa zile pointi 6 kutoka kwa simba angeshuka moja kwa moja bila kucheza 'play off'! Ama kweli kila mtu na kibonde wake!
Kabisa .. kagera ametuzoea sana
 
Wanadai wamelingana magoli yakufungwa na kufunga hvyo waliangalia head to head
Kushuka kwa Kagera itakuwa habari njema kwa Simba! Wamepigwa game 3 mfululizo za ligi, ikiwemo ile waliopigwa mbele ya jiwe! Meck Mexime sijui alifeli wapi jamaa yetu!
 
Tatizo hua wanakamia mechi za Simba tu,acha washuke ili akili zikae sawa.Nguvu wanayotumia kucheza na Simba ingetumika hiyo hiyo pia kwa mechi zote hakika wangechukua ubingwa.
 
nimefurahi sana Kagera kushuka daraja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…