Wakuu ninatafuta pc 'user friendly' backup software ambayo itakuwa inafanya regular PC backup kusave kwenye server kwenye small office ambayo itakuwa na kama computer 10 hivi.
Kama nimemisi kitu nakaribisha maoni.....sio lazima ya bure.....hata za kulipia pia.....
Nakaribisha ushauri...