PC gamers Tom crancy's The division 1 sasa inapatokana free Uplay (ubisoft store) hadi Sept 8

PC gamers Tom crancy's The division 1 sasa inapatokana free Uplay (ubisoft store) hadi Sept 8

Vhagar

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
20,550
Reaction score
39,949
Wale wapenzi wa games. Ikumbukwe hili game halijawahi kucrakiwa tangu mwaka 2016 litoke.

Sasa linatolewa bure hadi tar 8 mwezi wa 9. So chakufanya ni ww kudownload pc app ya uplay then jisajili na ulidownload bure. Lilikuwa likiuzwa kwa usd 29. Karibu 70000/= za kitanzania.

Tom Clancy's The Division™

Minimum Requirements
Supported OS:
Windows 7 SP1, Windows 8, Windows 8.1, Windows 10 (64bit versions)
Processor: Intel Core i5 2400 @ 3.1 GHz or AMD FX 6100 @ 3.3 GHz
RAM: 6 GB
Video Card: NVIDIA GeForce GTX 560 or AMD Radeon HD 7770 (2 GB VRAM)
DirectX: DirectX June 2010 Redistributable
Sound: DirectX compatible sound card with the latest drivers
Hard Drive: 40 GB available space
Peripherals: Keyboard, Mouse.
Multiplayer: Broadband connection with 512 kps upstream

Screenshot_20200901-123801.png
Screenshot_20200901-131354.png
 
Naona division 2 pia itakuwa free kwa siku 4.
Screenshot_20200922-120324.png
 
Ningependa mkuu kuwe na uzi kama huu ila iwe megathread, unaweza kutengeneza?

Football manager 2020 na watch dog 2 ni free forever ukidownload Epic store, ofa inaisha 24 september.
Kweli itapendeza kuwe na uzi wa kujulishana. Pia na kunakuwaga na ofa, unakuta yameshushwa mno bei.
 
ndio, juzi juzi tu hapa fifa 2020 lilikuwa dola 5
Kaka samahani,naomba msaada nje ya mada kidogo.Simu yangu inamaliza sana bundle la internet,yaani natumia 1GB kwa siku.Inaweza kuwa inasababishwa na nini?Kuwa na magroup mengi ya telegram na whatsapp inaweza kuwa ni kigezo?Matumizi yangu makubwa ni kuperuzi hapa JF pamoja na groups za telegram.Huwa siangalii video za youtube
 
ndio kama media zinajidownload zenyewe zinamaliza mb hata kama ni picha tu, vyema ukaweka off kwenye setting kitu chochote kisijidownload mpaka uruhusu
 
fifa 23 now ni usd 17 kama 40 tsh
 
Back
Top Bottom